Sunday, April 26, 2015

Wanawake Wasema CCM sasa Basi Shinyanga

Baraza la Wanawake Mkoa wa Shinyanga likiendelea na mafunzo ya BAWACHA , ambayo yamelenga kuwawezesha kitaaluma na kitaaluma katika mada za;
1. Utawala na uongozi
2. Ushiriki katika uongozi
3. Uchaguzi mkuu 2015
4. Sera,falsafa na itikadi ya chama,
5.jinsi ya kujitegemea ( masuala ya ujasiriamali

Baada ya hapo watatawanyika katika Mkoa wa shinyanga katika Wilaya, Tarafa, kata, vijiji na vitongoji kusambaza upepo na mshikamano.
kukataa rushwa na kujenga umoja katika kudai haki zao.
Mafunzo haya, yanaendelea nchi nzima.

No comments:

Post a Comment