Sunday, April 26, 2015

TASWIRA : Prof Abdallah Safari na Mohamed Mtoi Mkoani Tanga

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Prof Abdallah Safari akihutubia wakazi wa mkoa wa Tanga.

Mohamed Mtoi Kanyawana akihutubia wakazi wa mkoa wa Tanga katika mikutano inayoendelea ya kuhimiza wananchi kujianikisha katika daftari la kupiga kura kujiandaa na utoaji wa maoni wa katiba na Uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.

Prof Abdallah Safari akiwa na Mohamed Mtoi mkoani Tanga katika mkutano wa ndani na viongozi wa Chadema wa mkoa wa Tanga.

Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA Tanga waliojitokeza kumsikilza Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Bara Prof Abdalla Safari.

No comments:

Post a Comment