Baada ya Mahakama Kuu Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo kutupilia mbali
kesi iliyokuwa imefunguliwa na Zito Kabwe dhidi ya Chama Cha Demokrasia na
maendeleo (Chadema) ya kuhoji uhalali wa uanachama wake ndani ya chama
hicho…
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha
Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.
Akitangaza hatua hiyo ya kumvua uanachama,Lissu amesema kanuni na sharia za
chama hicho ziko wazi na zinaelekeza kuwa endapo mwanachama yeyote atakishtaki
chama hicho mahakamani na iwapo atashindwa atakuwa amejiondoa mwenyewe kwenye
chama
No comments:
Post a Comment