Wednesday, March 4, 2015

MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE AKUTANA NA WAZIRI MAGUFULI ALIPOTEMBELEA MKOANI KILIMANJARO

Mh Freeaman Mbowe akiongea na Waziri wa Ujenzi Mh John Magufuli wakati wa hafla ya kuchangia Ujenzi wa madarasa ya Shule iliyopo Masama.
Mh Freeman Mbowe akizungumza jambo na waziri John Pombe Magufuli wakati wa kukagua Ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala - Masama, Machame km 16Picha kwa Hisani ya MichuziBlog

No comments:

Post a Comment