Monday, February 23, 2015

MATOKEO YA UCHAGUZI WA MARUDIO WA SERIKALI YA MITAA SUMBAWANGA


Leo kumefanyika uchaguzi wa marudio wa serikali za mitaa katika manispaa ya Sumbawanga jimbo la sumbawanga kata tatu zimefanya uchaguzi kata za Msua, Chanji na Kizwite. Kata ya Msua ina mitaa 13 chadema 13 CCM 0 na act 0 kata ya Chanji ina mitaa 14 CDM 11 CCM 0 act 0 kata ya Kizwite mitaa 15 mpaka sasa imetangazwa mitaa 6 CDM 5 na CCM 1 act 0 mitaa mingine nitawajuza hongereni wana sumbawanga kuipenda chadema na kuithamini.

UPDATE
Uchaguzi wa serikali za mitaa
Mitaa 44 ya Kata 3 za Sumbawanga Mjini leo tarehe 22/Feb/2015
Chadema wameshinda mitaa 39, CCM mitaa 4, Mtaa mmoja umewekewa pingamizi.

No comments:

Post a Comment