Tuesday, January 13, 2015

PONGEZI KUTOKA CHASO KILIMANJARO

PONGEZI KUTOKA CHASO KILIMANJARO

Natumia fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo vikuu vya Kilimanjaro kutoa salamu za pongezi kwa chama chetu kwa ushindi wa uchaguzi wa serikali za mitaa tulioupata Desemba, 2014. Kufuatia kikao cha tathimini cha CHASO-KILIMANJARO cha tarehe 10/01/2015 tunafurahishwa na kasi kubwa ya uungwaji mkono wa chama chetu Aidha tunaahidi kuendeleza harakati za ukombozi wa PILI wa Taifa letu.
wako
IBRAHIM A. CHOTOLA
MRATIBU CHASO KILIMANJARO 2014/2015

1 comment: