Saturday, November 15, 2014

TASWIRA: ZIARA YA MH FREEMAN MBOWE MKOANI KIGOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiondoka katika kijiji cha Buhigwe mkoani Kigoma, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika kijijini hapo juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Buhingwe katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwahutubia wananchi wa Kasulu katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe akilakiwa na wanawake wa kijiji cha Mwamugongo mkoani Kigoma, ambako waliwasili juzi kuhutubia mkutano wa Operesheni Delete CCM.

No comments:

Post a Comment