Sunday, January 26, 2014

TASWIRA ZA OPERESHENI PAMOJA DAIMA MKOANI MBEYA NA NJOMBE

Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akihutubia katika mkutano wa Operesheni Pamoja Daima Mkoani Mbeya

Mbunge Wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi akihutubia katika Mkutano wa Operesheni Pamoja Daima Mkoani Mbeya

Mbunge wa Mbozi Mh David Silinde akihutubia mamia ya wakazi wa Mbeya Katika Mkutano wa Operesheni Pamoja Daima.

Wakazi wa Mbeya wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali katika mkutano mkubwa wa Operesheni Pamoja Daima

Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akimnadi mgombea udiwani mkoani mbeya

Wakazi wa Makambako Iringa waliojitokeza kwa wingi katika Mkutano wa Operesheni Pamoja Daima

Mamia ya Wakazi wa Njombe waliohudhuria mkutano wa Operesheni Pamoja Daima

Dr Wilbroad Slaa akihutubia mamia ya wakazi wa Makambako

Dr Wilbroad Slaa akiwasili tayari kwa kuhutubia katika mkutano wa Operesheni Pamoja Daima  Chimara Mbeya

Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akihutubia mamia ya wakazi wa Chimara mkoani Mbeya

No comments:

Post a Comment