Saturday, January 25, 2014

TASWIRA ZA OPERESHENI PAMOJA DAIMA KUTOKA MIKOANI

Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa akihutubia wakazi wa Sumbawanga katika mwendelezo wa Operesheni Pamoja Daima.

Dr Slaa Akihutubia wakazi wa Vwawa.

Dr Slaa akihutubia wakazi wa Kasanga.

Dr Slaa akionyesha kadi za vyama mbalimbali zilizorudishwa na watu walioamua kujiunga na CHADEMA mjini Sumbawanga


Dr Slaa akimnadi mgombea mjini Kasanga

No comments:

Post a Comment