Tuesday, January 28, 2014

TASWIRA ZA MKUTANO WA M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA MKOANI IRINGA


Slaa Iringa; Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Manispaa ya Iringa, katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa jana


Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa akiwahutubi wananchi wa Manispaa ya Iringa, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa jana. (Picha zote na Joseph Senga)

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwahutubia katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa mjini Iringa jana.

Maelefu ya wakazi wa Manispaa ya Iringa na vitongoji vyake wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Operesheni ya M4C Pamoja Daima wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa jana.
No comments:

Post a Comment