Tathimini hii fupi haitajikita kwenye uchaguzi mzima, bali ijadili kwa kina, mantiki katika maeneo matatu (3) tu.
1.0. KABLA YA UCHAGUZI
2.0. UCHAGUZI NA MATOKEO
3.0. AKIBA YA MANENO
.............................. ..................
1.0.1. KABLA YA UCHAGUZI
»» Kwa rejea binafsi, Kata zote zilizokuwa wazi pamoja na Halmashauri zake kwenye mabano ni:-
Stesheni (Nachingwea), Nyampu Lukano na Lugata (Sengerema), Genge Tingeni (Muheza), Ibugule (Bahi), Langiro (Mbinga) na Manchila (Serengeti). Nyingine ni Iyela (Mbeya), Mbalamaziwa (Mufindi), Ruzewe Mashariki (Bukombe), Mianzini (Temeke), Dalai (Kondoa), Minepa (Ulanga), Makuyuni (Monduli)
na Bashnet (Babati). Kata nyingine ni Kimandolu, Elerai, Kaloleni na Themi (Arusha), Iseke (Singida), Dongobesh (Mbulu), Ng’ang’ang’e (Kilolo), Ifakara (Kilombero), Msanze (Kilosa) na Mnima (Mtwara).
2.0.1. UCHAGUZI NA MATOKEO
» Matokeo katika uchaguzi huo yanabeba funzo na taswira muhimu kwa vyama vikuu viwili shindani (CCM na CHADEMA) na yanatoa somo lenye ukweli mchungu kwa vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi, TLP na vingine ambavyo havikuambulia kiti hata kimoja na vyama vingine kushindwa kusimamisha wagombea.
» KABLA YA UCHAGUZI: Kabla ya uchaguzi wa Kata hizo 22 ilikuwa hivi, CCM kata 20, na CHADEMA kata 1, (20-1=19). Tofauti ilikuwa Kata 19.
» BAADA YA UCHAGUZI: Baada ya uchaguzi ukitafuta tofauti ya Kata kati ya CCM Kata 15 na CHADEMA Kata 7 unapata 8 (15-7=8). Tofauti ni kata 8.
3.0.1 AKIBA YA MANENO
» Kabla, CCM 20 CHADEMA 5 (20-5=15)
» Baada, CCM 15 CHADEMA 11
(15 - 11= 4)
»» Yaani kutoka tofauti ya kata 15 hadi tofauti ya Kata 4. Huhitaji kuwa na shahada ya kuchota maji kisimani kuliona anguko hili.

Nawaombea usiku na mchana CHADEMA waje wasike dola, ili Watanzania tuwe na matumaini mapya na nchi yetu. La sivyo rasmali zetu zitaisha huku nchi ikiwa maskini na ombaomba km ilivyo sasa!
ReplyDeleteNawakilisha,
Ni kweli kabisa, CHADEMA ndiyo wanastahili kutembea kifua mbele kwa usindi wa katai hizo 7 kati ya 22... Ila kamanda ungezitaja na hizo kata ingekuwa powa zaidi kwani Nape anasema CHADEMA wameshinda kata 6....
ReplyDeleteNi kweli kabisa mdau hapo juu. Nawatakia kila la kheri CHADEMA. Na kwa hali halisi inaonyesha kwa jinsi gani CCM ambavyo wanchi hawana imani nacho. Big up sna CHADEMA 11 kwa 15, hata watupige vipi, walipue mabomu vipi. Wanachi wote tunajua hizo ni nchama za chama tawala na polisi wake. Tunataka Ukombozi
ReplyDeleteFor sure mwenye macho haambiwi tazama, nahistoria inasema wazi mabadiliko hayaji kirahisi kama tunavyofikiria inawezekana wachache wakapata shida lakini wnegi wakapata ukombozi. Tunasema, lazima kusong mbele kutetea wanyonge.
ReplyDelete