Saturday, April 27, 2013

Zitto Kabwe kuwasha moto wa kufa mtu Tabora mjini kesho

Ikiwa ni katika muendelezo wa M4C na ufunguzi wa kanda ya magharibi, ambapo inatarajiwa kufanyika kesho Tarehe 27 Aprili 2013 ktk viwanja vya shule town school karibu na kwa papa wemba hapa Tabora mjini,Tayari viongozi wa kitaifa wameanza kuwasili usiku huu ambapo tayari Mhe. Zitto Kabwe ambaye ni mlezi wa kanda hii ameshawasili muda huu tayari kwa kuwasha moto wa kufa mtu hapo kesho ambapo tutakwenda kushuhudia Tabora kuwa kama Arusha kwa muamko kwani vijana wengi na wakazi wa hapa wana hamasa kubwa ya kufika ktk mkutano huo ili kukata kiu yao ya muda mrefu ya kukosa elimu ya uraia.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA.

PEOPLES POWER.

1 comment:

  1. Your effort is our effort and is their effort! God blesses the effort from the effort people.

    ReplyDelete