Wednesday, February 20, 2013

KILIO CHA KUPOROMOKA KWA ELIMU

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwaongoza maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza (hawapo pichani) waliohudhuria mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Furahisha, kuinamisha na kushika kichwa, kisha kutoa ukunga, ikiwa ni ishara ya kilio dhidi ya kuporomoka kwa elimu nchini, akisema kuwa matokeo ya Kidato cha IV mwaka 2012 ni msiba mkubwa kwa taifa na kwamba chama hicho hakitakubali Tanzania kugeuzwa taifa la mbumbumbu, huku chama tawala kikiwa hakina sera wala mikakati endelevu ya kuondokana na hali hiyo.





No comments:

Post a Comment