Saturday, September 15, 2012

Mh. Ndesamburo awasili UK kuhutubia mkutano wa Chadema Milton Keynes

Mbunge wa Moshi Mjini Mh Philimoni Mheshimiwa ndesamburo amewasili  London  kwa ajili ya Kuhutubia Mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tawi la London Uingereza.



Mkutano huo utafanyika katika mji wa 
Milton Keynes saa kumi jioni ya leo 15 Sept 2012.
Mh ndesamburo pia atatumia muda huu kuhamasisha vuguvugu la mabadiliko M4C
Taarifa Hizi zimethibitishwa na Mwenyekiti wa TAWI chris Lukosi.

No comments:

Post a Comment