Monday, September 10, 2012

HECHE ALIZA WAKAZI WA KEKO( TEMEKE)

MWKT WA BAVICHA TAIFA NDG JOHN HECHE leo amewaliza wakazi wa keko alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwa nia ya kupokea wanachama zaidi ya 51 walioamua kuvua gamba, 
kijana aliamua kusema misemo na falsafa nyingi zilizojikita kulaani wimbi la mauaji linalokuwa kwa kasi hapa nchini

1 "watu wabaya wanatamalaki siyo kwamba wana nguvu sana bali ni kwa sababu wema tumekaa kimya tukiwatazama"
2" polisi wameandaliwa kutuuwa mimi nasema watatuuwa sana lakini hawataua fikra zetu "
3"hatuko tayari tena kuona uhalifu huu ukiendelea mimi kama kiongozi wa vijana sasa niko tayari kuandamanisha mpaka watoto kudai haki ya kuishi ya watu inayotwaliwa na polisi"
utekaji nyara , migomo, hali ya maisha kuporomoka na raisi kuwa omba omba nazo zilikuwa moja ya mazungumzo ya mh heche 






No comments:

Post a Comment