Uchaguzi ndani ya Chama na Operesheni Sangara
Ratiba mpya ya operesheni Sangara baada ya maagizo ya Kamati Kuu iliyokaa tarehe 9 July 2012 ya kusimamisha uchaguzi ndani ya Chama. Kamati Kuu iliamua uchaguzi uwe ukifanyika katika Operesheni Sangara.
DATE | ENEO HUSIKA | SHUGHULI | |
1 | 04/08 2012 | Kanda ya kati | Uzinduzi wa operesheni |
2 | 05/8-19/08/ 2012 | Dodoma,singida,iringa manyara na morogoro | Operesherni uchaguzi ngazi ya kata. |
3 | 19/09-30/09/2012 | Makao makuu | Maandalizi Tathimini ya operesheni |
4 | 01/10-20/2012 | Baadhi ya maeneo ya Lindi, Dsm,Pwani, Bagamoyo na Tanga | OPERESHENI Uchaguzi ngazi ya matawi na kata |
5 | 21/10/30/10/2012 | Makao makuu | Tathimini Maandalizi |
6 | 01/11-20/11/2012 | Kilimanjaro na Arusha | Operesheni Uchaguzi ngazi ya matawi |
7 | 21/11-30/11/2012 | Makao makuu | Tathimini maandalizi |
8 | 01/12-20/12/2012 | Shinyanga,Tabora na Simiyu | Operesheni na uchaguzi ngazi ya matawi na kata |
9 | 01/01-25/01/2013 | Mwanza,Geita, Mara na kagera | |
10 | 26/01-30/2013 | Makao makuu | Tathimini |
11 | 01/02-20/02.2013 | Kigoma, katavi Rukwa | Operesheni na uchaguzi ndani ya chama |
12 | 21/02-30/02/2013 | Makao makuu | Tathimini ya operesheni |
13 | 01/03-25/03/2013 | Mbeya, njombe na Ruvuma | Operesheni uchaguzi |
14 | 26/03-30/03/2013 | Makao makuu | tathimini |
15 | 01/04-25/04/2013 | Zanzibar | Operesheni na uchaguzi |
16 | 26/04-30/04/2013 | Makao makuu | tathimini |
No comments:
Post a Comment