Saturday, June 16, 2012

CHADEMA yazidi kuibomoa CUF



Aliyekuwa mgombea udiwani kata ya nyasa kada mkubwa wa cuf Yusuph Omary Ally leo ameahama na kurudisha kadi kwa mwenyekiti wa CHADEMA kata ya migongo Masasi Mtwara Kassim Bingwe

No comments:

Post a Comment