Wednesday, April 18, 2012

Kishindo cha CHADEMA kuzidi kuiangamiza CCM

katika kikao kilichofanyika asubuhi ya leo na kuhusisha wabunge wa chadema mjini Dodoma kuna habari ambayo itazidi kuishutua CCM na pengine huu ukawa ndiyo mwisho wa CCM Arusha.


Aliyekuwa Diwani kupitia CCM Alphonce Mawazo amehamia rasmi chama cha Demokrasia na Maendeo na kumaliza tetesi za siku nyingi kuwa angehamia chadema. kwa mara ya kwanza zilianza kuibuka kwenye uchaguzi wa meya wa mjini Arusha baada ya haki kupindishwa hali hiyo mawazo hakupendezwa nayo, hivyo kuanza harakati za kuhamia chadema wakati wakati mawazo akiahamia chadema katibu mwenezi wa wilaya ya Longido mkoa wa Arusha CCM nae kavaa kombat rasmi na muda huu ninapoa andika Mawazo na makamnda wengine wanaelekea mjini kahama kwenda kungana na makamanda walioko huko wakiendeleza maumivu kwa chama cha majambazi....
mengi yana kuja.



CHANZO - JF

No comments:

Post a Comment