Friday, January 19, 2018

HALI YA TUNDU LISSU INAENDELEA KUIMARIKA

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika zaidi.No comments:

Post a Comment