Friday, September 8, 2017

PICHA ZA TUKIO LA KUPIGWA RISASI GARI LA MHE TUNDU LISSU

Gari la Tundu Lissu lililopigwa risasi na kumjeruhi

Picha za matundu ya risasi zilizoshambulia gari la Tundu Lissu na kumjeruhi

Dereva wa Tundu Lissu aliyeshika nguo na viatu baada ya tukio la kushambuliwa kwa risasi gari ya mheshimiwa Tundu Lissu

Mwenyekiti wa chadema mheshimiwa Freeman Mbowe akiwa na dereva wa Tundu Lissu

No comments:

Post a Comment