Tuesday, January 10, 2017

WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA ALIPOSHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MWAKA MPYA KATIKA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA MONDULI ARUSHA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa KamatiKuu ya CHADEMA Taifa Mh Edward Lowassa akizungumza na waumini wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Monduli Arusha katika misa maalamu ya mwaka mpya 2017 ambapo amewataka watanzania wote bila kujali itikadi zao kufanya kazi kwa bidii.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa Mh Edward Lowassa akisalimiana na mchungaji wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Monduli Arusha Laison Saning'o katika Ibada maalamu ya mwaka mpya 2017.
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa Mh Edward Lowassa, mama Regina Lowassa akisalimiana na mchungaji wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Monduli Arusha Laison Saning'o katika Ibada maalamu ya mwaka mpya 2017.


No comments:

Post a Comment