Tuesday, January 10, 2017

MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE NA DR KIIZA BESIGYE WAKARIBISHWA IKULU YA GHANA

Rais wa Ghana,Mhe. Nana Akufo-Addo (Kushoto) akiwakaribisha Ikulu, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe (Katikati) na Kiongozi wa Chama cha FDC cha Uganda,Mhe. Kizza Besigye kwa ajili ya mazungumzo.

No comments:

Post a Comment