Wednesday, December 7, 2016

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mheshimiwa Freemana Mbowe ziarani Barani Ulaya

Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwa mbele ya Bunge la Uingereza jana tarehe 5/12/2016 alipokuwa kwa ajali ya kukutana na Wabunge na Viongozi mbalimbali Nchini Uingereza . kulia kwake ni John Mrema Mkurugenzi wa Mawasiliana, Uenezi na Mambo ya Nje
Ziara ya Mhe. Freeman Mbowe itachukua Siku 14 katika Nchi mbalimbali za Jumuiya ya Ulaya.

No comments:

Post a Comment