Tuesday, June 21, 2016

WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE WAKIPINGA KITENDO CHA SERIKALI KUWAFUNGA MIDOMO WASITOE MICHANGO YAO BUNGENI


Baada ya kutoka bungeni kwa wiki tatu mfululizo leo wabunge wa Kambi ya Upinzani  wametumia mtindo mpya kueleza hisia zao baada ya kuamua kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wamejifunika midomo kwa karatasi. Aidha Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema wameamua kutumia mtindo huo mpya kwa sababu Bunge limekataa kuwasikiliza hoja zao.

No comments:

Post a Comment