Sunday, November 8, 2015

UKAWA YAFANYA KWELI DAR ES SALAAM

Uchaguzi wa mwaka huu umeweka historia kubwa tangu vyama vingi vilipoanza kwa jiji la Dar es salaam kuwa na wabunge 6 wa upinzani huku ccm ikiambulia wabunge wanne
Hilo halitoshi lakini pia UKAWA imeweza kufanikiwa kuwa na madiwani wengi kuliko CCM.


WILAYA YA KINONDONI

Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2

Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1


Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5


Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4


WILAYA YA ILALA

Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5


Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6


Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6


WILAYA YA TEMEKE

Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5


Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7


Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6


Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm wamezidi.
No comments:

Post a Comment