Saturday, November 28, 2015

HATIMAYE MWILI WA ALPHONSE MAWAZO WAAGWA MWANZA

Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akipita mbele ya jeneza la Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo.
Mke wa Marehemu Alphonse Mawazo na mtoto wake Precious Mawazo wakimsikiliza Mchungaji aliyekuwa akiendesha misa ya kumuombea marehemu Alphonse MawazoNo comments:

Post a Comment