Tuesday, October 6, 2015

MKUTANO WA MESHIMIWA EDWARD LOWASSA - MONDULI

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini leo Oktoba 5, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CHADEMA, Julius Kalanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi,

Wananchi wa Monduli wakimpokea kwa shangwe, mpendwa wao ambaye ni Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini, leo Oktoba 5, 2015. Picha na Othman Michuzi, Monduli.


Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa, wakishiriki tendo la kimila ya Jamii ya Watu wa Kimasaai lililoongozwa na Malaigwanani.


No comments:

Post a Comment