Friday, October 2, 2015

MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI YA URAIS KWENYE VIWANJA VYA MWEMBEYANGA TEMEKE

Mh Edward Lowassa akihutubia mamia ya wakazi wa Dar es salaam katika mkutano uliyofanyika katika viwanja vya mwembeyanga Temeke.


1 comment:

  1. MWAKA 2015 KWETU WATANZANIA NI MWAKA MUHIMU SANA KATIKA HISTORIA YA NCHI YETU .NI MWAKA WA MABADIRIKO KIFIKARA KISIASA,NI MWAKA WA KUZINDUKA KAMA RAIA,NI MWAKA WA KUIONDOA CCM MADARAKANI KWA NJIA YA AMANI NA YA KISTAARABU YA KUPIGA KURA.NI MWAKA WA KUUTAMBUA UKWELI KWAMBA WATANZANIA TUMECHELEWESHEWA MNO MAENCELEO KUTOKANA NA UTAWALA MBAYA,UONGOZI MBAYA,HUJUMA NA WIZI.CHAMA-DOLA TUNACHOJIANDAA KUKIPIGA MWEREKA- CCM.CCM IMEJICHUKULIA MAMLAKA MAKUBWA YA DOLA NA SERIKALI YAKE KWA KUENDEKEZA UPENDELEO MKUBWA KATIKA UTEUZI WA WATENDAJI WAKUU.IMETUMIKA CCM KUWAPA VYEO VYA KIUTENDAJI WANA CCM WASIO NA SIFA WALA UWEZO.MATOKEO YAKE NI KUHARIBU KAZI,KUHARIBU MIRADI,KUHARIBU RATIBA NZIMA YA DIRA YA MAENDELEO TA TANZANIA NA KUWARUDISHA NYUMA SANA WANANCHI WA TANZANIA.SASA TUMEAMKA.TUNATAKA MABADIRIKO,NA JEMEDARI WETU MKUU WA MABADIRIKO NI MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA.TUMEKWISHA MCHAGUA KUWA NI RAIS WETU WA AWAMU TA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [2015-2020] SIKU YA JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA 2015 TUNAKWENDA KUPIGA KURA KUTIMIZA AZMA YETU HII.NARUDIA,TUNAKWENDA KUMPIGIA KURA MHESHIMIWA LOWASSA .TAYARI TUMEKWISHA MCHAGUA.EWE MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MZIDISHIE AFYA NJEMA MJA WAKO MHESHIMIWA LOWASSA,MZIDISHIE UJASIRI NA USHUJAA,MUANGAZIE HEKIMA NA BUSARA,MUEPUSHE NA NJAMA ZOZOTE CHAFU NA HUJUMA,NA HILA,NA HUSUDA NA KILA WANAOMUOMBEA MABAYA YAWAKUTE WAO NA WAANGAMIE.TUNAOMBA NA KUSHUKURU,AMEEN.

    ReplyDelete