Friday, October 2, 2015

MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA ALIVYOKUWA MONDULI MKOANI ARUSHA

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli wa Chadema kupitia mwamvuli wa UKAWA, Julius Karanga, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 2, 2015.

No comments:

Post a Comment