Monday, September 7, 2015

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI ANGURUMA TANGA

Makamu mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar Said Issa Mohamed akimlaki mgombea mwenza wa UKAWA kupitia chadema Mh Juma Duni Haji alipowasili kwenye uwanja wa ndege jijini Tanga.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia chadema Mh Juma Duni Haji akipokea saluti kutoka kwa mkuu wa polisi wilaya ya Tanga OCD Omary Ntungu alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni mkoani humo.
Baadhi ya wafuasi wa ukawa waliokuwa na shauku ya kutaka kumuona mgombea mwenza wa UKAWA kupitia Chadema Juma Duni Haji wakijaribu kusimamisha msafara wa mgombea huyo alipokuwa njiani kuelekea Muheza
CCM kifo cha mende.....

Mheshimiwa Juma Duni Haji akihutubia wakazi wa MuhezaWakazi wa muheza Tanga wakimsikiliza Mgombea mwenza wa ukawa Mh Juma Duni Haji.

No comments:

Post a Comment