Wednesday, September 2, 2015

MAPOKEZI MAKUBWA YA EDWARD LOWASSA SONGEA

Picha Chini: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Songea Mjini, kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015. Picha na Othman Michuzi, Ruvuma.Mamia ya wakazi wa Songea waliojitokeza kumsikiliza Mh Edward Lowassa


No comments:

Post a Comment