Saturday, September 12, 2015

LOWASSA APATA MAPOKEZI YA KIHISTORIA DODOMA

Chopa iliyombeba Mh Edward Lowassa ikitua uwanjani

Mh Edward Lowassa akishuka kutoka katika Chopa 

Mh Edward Lowassa akiongozana na waheshimiwa wengine waliomsindikiza katika ziara yake ya kampeni mkoani Dodoma

Kina mama wakiimba kwa hisia kali Mh Frederick Sumaye akiongea jambo fulani na Mh Edward Lowassa

Mh Edward Lowassa akihutubia wakazi wa Dodoma


Mh Frederick Sumaye akimwaga sera

Mh Frederick Sumaye na Mh Tundu Lissu wakiongea jambo fulani katika mkutano mkubwa mjini DodomaPicha kwa Hisani ya Othman Michuzi

2 comments:

  1. Mungu Ibariki Tanzania,Mungu ibariki Afrika.Mfunike kwa wingu lako mheshiwa rais wetu uliyempaka Mafuta...Edward Ngoyai Lowasa.

    ReplyDelete
  2. Nawaomba Chadema ongezeni matangazo ya kwenye mabango kwenye maeneo ya nchi yote. Hapa Dodoma hata bango la mgombea Ubungr na Udiwani hatuyaoni wala hatuwajui vizuri. Jitahidini Sana kuleta mageuzi kwa kuweka matangazo ya nguvu

    ReplyDelete