Sunday, September 20, 2015

BABU DUNI AKUSANYA MAELFU YA WANANCHI NYUMBANI KWA MAGUFULI

Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita leo. (Picha na Francis Dande)
Msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni ukiwasili katika kata ya Katolo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Busanda mkoani Geita.

1 comment: