Tuesday, August 25, 2015

MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA ATEMBELEA SOKO LA TANDALE


3 comments:

  1. I mekaa vizuri hiyo ila isiishie kipindi hiki cha kampeni tu hata akifanikiwa kupata madaraka awe mwepesi wa kutembelea ktk makazi ya watu masikini na kutambua kero zao pamoja na kuzitatua

    ReplyDelete
  2. Rais ajaye bwana ni raha tu hakuzipata akiwa ikulu so atatumia muda mwingi kuwatembelea wa tanzanzania na sio kwenda marekan kumwona 50 ,cent ni raha jamani kama wewe sio mchawi sema Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaà

    ReplyDelete