Tuesday, August 18, 2015

EDWARD LOWASSA APATA MAPOKEZI MAKUBWA ZANZIBAR
1 comment:

  1. Asanteni wadau. Pamoja na mapokezi makubwa yaliyojitokeza sehemu zote. Ni vyema basi yukakumbushana kutoa elimu kwa wapiga kura wetu watapoingia sikunyenyewe ile karatasi ilivyo na unachohitajika kufanya na lipi hutakiwi kufanya unapoamua kuweka alama ya ndio basi huhitaji kuongeza au kumaki hapana kwa mgombea mwingine. Jambo la muhimu hili. Asante. Tutaweza tu kwani nchi imeuzwa siku nyingi irudi kwa waTanzania.

    ReplyDelete