Saturday, May 16, 2015

TASWIRA: MKUTANO WA BAWACHA ARUSHA WAFANA SANA

Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema akihutubia katika mkutano wa BAWACHA Arusha.Baadhi ya kinamama waliohudhuria mkutano wa BAWACHA wakionekana wenye furaha.


Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mh Amani Golugwa (wa pili kutoka kushoto) akicheza ngom kuwaunga mkono akinamama wa Arusha katika mkutano wa Baraza la Wanawake BAWACHA Arusha.

No comments:

Post a Comment