Wednesday, December 3, 2014

NAIBU KATIBU MKUU CHADEMA AKIWA ZIARANI MKOANI RUKWA KATIKA MKUTANO WA OPERESHENI DELETE CCM


Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Muze, Sumbawanga Vijijini, mkoani Rukwa, katika mfululizo wa mikutano ya ziara ya Operesheni Delete CCM, (Jumamosi 29/11/2014.)No comments:

Post a Comment