Tuesday, February 18, 2014

MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA KALENGA WAZUIWA NA POLISI IRINGA

 Polisi mkoani Iringa wakiwa  wameuzuia msafara  wa mgombea  ubunge jimbo la Kalenga,  Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai  hawakuwa na kibali cha kufanya  maandamano  hayo ya magari  hapa  ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo  ulikuwa ukitokea maeneo ya Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi  ili kuchukua fomu.


No comments:

Post a Comment