Thursday, January 23, 2014

CHADEMA: Samwel Shamy awezesha harambee, madaftari 1800, vitabu 200 na computer 10

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Ndg. Samwel Shamy amefanikiwa kufanyisha harambee ya kukusanya vifaa vya elimu kwa wanafunzi wasio jiweza. Ngd Shamy alifanikiwa kukusanya Computer kumi (10), vitabu mia mbili (200), na madaftari alfu moja mia nane (1800). Pichani Ndg. Shamy akiongea na waandihi wa habari na kukabidhi vifaa hivyo kwa mkuu wa Wilaya Meru Ndg. Munase.




No comments:

Post a Comment