Tuesday, December 10, 2013

Ziara ya Dr. Slaa kijiji cha janda, kigoma, inaendelea

Ziara inaendelea, hapa ni Kijiji cha Janda, Jimbo la Manyovu, wilayani Buhigwe, mkoani Kigoma. Leo ni siku ya 5, mikutano 10 hadi sasa, majimbo 5 kati ya 8 ya mkoa wa Kigoma. Mkutano wa pili unaendelea eneo la Mnanila, Jimbo la Manyovu, wilayani Buhingwe.
Dr Slaa akihutubia wananchi wa kijiji hicho, ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kwa leo

Dkt. Slaa anajumuika kucheza ngoma ya wenyeji waliomkaribisha kwa bashasha

No comments:

Post a Comment