Tuesday, December 31, 2013

TUME YA JAJI WARIOBA YAMKABIDHI RAIS KIKWETE NAKALA YA RASIMU YA PILI YA KATIBA


Nakala ya Rasimu ya Katiba aliyokabidhiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein leo, Desemba 30, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Hatua inayofuata baada ya kukabishiwa kwa rasimu hiyo ni kuundwa kwa Bunge Malumu la Katiba ambalo wito umeshatolewa kwa makundi mbalimbali kuteua wawakilishi, kisha itajadiliwa na Bunge hilo kabla ya hatua ya kupiga kura ya maoni kufuata katika kutafuta Katiba Mpya ya Tanzania iliyopangwa kupatikana kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2015.


No comments:

Post a Comment