Hali ya siasa nchini imekuwa na sura tofauti kabisa kwa chama cha kijani.
Chama kilichokuwa na malezi na makuzi stahiki kwa vijana mpaka kufikia madaraka kamili ya nchi.
CCM ilikuwa na utaratibu wa kuwaandaa vijana kwa nyanja zote, ni utaratibu ulikuwa unashahabiana na vyama vingi duniani vyenye mlengo na nia thabiti kwa taifa lao!
Hata inapofika wakati wa kumtazama mtu sahihi wakuwa RAIS wa nchi, chama huwatupia macho wale watu muhimu waliopevuka ndani ya Chama waliopita katika misingi mujarabu ya Chama cha Mapinduzi.
Katika hili CCM ni lazima ijivunie kwani kwa utaratibu wake wa asili chama kilifanikiwa kulea vijana mahiri waliofikia hadi ngazi stahiki za uongozi wa juu wa Taifa.
Kundi la kwanza lililozalishwa katika mfumo huu wa Chama ni la akina Benjamin Mkapa, Cleopa Msuya, John Malecela, Salim A. Salim, Aman Karume, A. Mwinyi, n.k. Hilo ni kundi lililofaidi mfumo huo wa CCM, na likayaonja matunda yake na taifa likafaidi ipasavyo.
Kundi la pili ni la akina Samweli Sitta, Dr W. Slaa, Bernard Membe, Dr Asha-Rose Migiro, Prof. Anna Tibaijuka, Freeman Mbowe, John Magufuli, Dr Mwakyembe, Jakaya Kikwete n.k. Hili ni kundi ambalo lipo kwenye ngazi ya kitaifa ya utumishi kwa nchi yetu.
Baada ya hapo kundi la mwisho ambalo ni masalia ya mfumo huo kabla haujafa ni la akina Jenerali Ulimwengu, Emanuel Nchimbi, Lawrence Masha, N. Tegambwage, Said Kubenea, Dr Faustine Ndugulile, Dr Hussein Mwinyi, William Ngeleja, Amos Makala n.k. Hilo ndio kundi la mwisho katika sufuria la ccm ambalo kwa sasa limeshakauka kabisa.
Kwanini nasema CCM imejiandaa kutuletea MTAKA Urais?
Kwanza chama kilikuwa na utaratibu wa kusimamia chenyewe zoezi zima la kuandaa watu/mtu atakae

simama kugombea urais wa nchi hii, kinyume na hapo CCM ya leo imeiasi misingi hiyo na kujikita zaidi ulaghai na ulanguzi wa kisiasa.
Imeacha mamumiani yanayotaka kuelekea ikulu yajiume yenyewe, hii ni hatari sana kwa nchi.
Mtu yeyote anaeutaka urais (yeye binafsi) kwa nguvu hii tunayoiona, hakika tukimpa urais huo ni kulisaliti taifa letu!
Kwakuwa nchi yetu bado katiba inatutaka tumpate rais kupitia vyama na sio mgombea binafsi, basi vyama vinawajibu mkubwa kuandaa watu/mtu atakaekuja kuwa rais wa nchi yetu!
CCM imeshindwa katika hili, imewatupa nje wale watu muhimu waliopitia mfumo huo na ambao angalau leo wangekuwa ni hazina kwao, sasa ccm imebaki kuwa genge la mamafia, wezi na magaidi tu!
Wamepoteza dira ya kubaki madarakani kidemorasia sasa wameamua kuishi na kustarehe marakani kwa mtutu wa bunduki tu, damu za watanzania ndio turufu kwao!
CHADEMA imejiandaa kutuletea rais wa UMMA
Kila mtanzania leo ukiitaja CHADEMA ni kama umemfikisha nchi ya ahadi huku kafumba macho.
Chama kinachopita kwenye bonde la uvuli wa mauti, Chama kinachoendesha siasa huku kinatoa machozi ya damu, Chama kinacho beba tumaini la Watanzania makumi kwa mamilioni, Chama ambacho kinawanachama hai mpaka ikulu ya nchi iliyochini ya CCM, Chama ambacho kimejianda kiakili, kimwili na kivitendo kuwatumikia Watanzania, Chama chenye wanachama hai ndani ya makao makuu ya CCM Lumumba, HAKIKA kitashinda tu 2015!
Mfumo wa uongozi na utendani wa CHADEMA unatoa fursa kwa waangalizi wa siasa nchini na duniani kunena wazi kuwa chama hiki kimejiandaa kumleta rais wa kuwatumikia Watanzania.
CHADEMA tangu kilipoanza siasa zake za kitaifa kilibuni njia mujarabu ya kulea vijana na kuwaandaa kuwa viongozi wa kitaifa.
Matunda ya utaratibu huo wengi wa Watanzania wameyaona na wanayaona, karibu wabunge wote wa CHADEMA wamelelewa na kufunzwa Chama tangu wangali wa changa kisiasa, hii inatupa nguvu sisi wadadisi wa siasa za kisiasa kuamini vina saba vilivyojikita katika chama hiki na kukifanya kuwa na nguvu ya kushika dola 2015 bila wivu.
Sayansi ya siasa huwa haidanganyi na wala hutakipindishwi ili iendane na matakwa ya mtu, bali husimama kwenye ukweli huru hata kama utaumia!
Sayansi inaeleza wazi kuwa chama kilichosimama wima na kuwa refa imara wa wa wanachama wake kitazaa urais bora wa umma.
Sasa ccm ipo kama pombe za ngomani ni vigumu kutuletea kiongozi bora kwa ngazi ya urais, bali italeta mafisadi mara 10 ya haya tuliyonayo leo.
CHADEMA ipo katika mstari sahihi, imeweza kudhibiti viherehere vya baadhi ya wanachama na kwa hilo tu imefanikiwa kukiimarisha chama ipasavyo.
CHADEMA imefanya hivyo kwakuwa inatambua wazi kuwa ndani ya chama ina hazina ya wanachama waliojipanga mstari mmoja ambao wamefuzu kuwa rais wa nchi.
Chama kimejikita kujenga chama kwanza jambo ambalo ni mtawalia kwa jiografia ya siasa za nchi yetu!
Ewe Mtanzania, Unga mkono chama kitakachokuletea rais wa Watanzania wote sio rais KUPE,MUMIANI, FISADI,MPIGA MDILI,nk
Naunga mkono siasa za CHADEMA, na nitakuwa mpiga kura imara wa CHADEMA!
Uchambuzi wa: Yericko Nyerere

No comments:
Post a Comment