Wednesday, July 31, 2013

KESI YA HENRY KILEO NA MAKADA WENZAKE WA CHADEMA



Leo mawakili wa pande zote wametoa maelezo yao huku Upande wa Henry Kilewo na wenzake wakitaka mahakama Kuu ifute mashtaka yanayowakabili kutokana na kutokuwa na uhalali wa kisheria.
Mahakama Kuu kanda hiyo ya Tabora imepanga kuwa itatoa maamuzi yake juu ya shauri hilo ifikapo Agosti Tano mwaka huu. Haki huenda ikatendeka.


1 comment:

  1. kila kitu saiv ugaidi ukishakuwa chadema hata ukanyage afande ukiwa chadema unahusishwa na ugaidi hizi ni mbinu za kitoto kuichezea rafu cdm

    ReplyDelete