jambo la huzuni matokeo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, unapopiga kura na msimamizi wa kutuma matokeo ndio huyo hataki ushinde utafanya nini,labda waulizwe kina Mwigulu walioanzisha makundi ya mgambo kwenye ccm sijui kujilinda na nini maana hao wanaopata mafunzo ndio wanaotumiwa kuleta fujo na si wenyeji mara zote, likishughulikiwa hilo italeta maana

ReplyDelete