Saturday, May 18, 2013

Mhe Zitto Kabwe ziarani Tabora, Kamanda Mawazo Singida Magharibi


Mh. Naibu katibu mkuu wa CHADEMA taifa, Zitto Zuberi Kabwe atautikisa mji wa Tabora na viunga vyake hii leo kwa kufungua matawi ya chama katika kila Kata ya Mji huo.

Mh. Zitto aliwajulisha wananchi wa Tabora mjini wajiandae kupokea ujio huo mzito wenye malengo ya kuiokoa Tabora.

Wakati huo huo Kesho ni ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa vijiji ktk jimbo la mwigulu nchemba,
Ally Bananga ndie atakae endesha kampeni ktk uchaguzi huu.

Uchaguzi ni wa Vijiji 8 na Vitongoji 28

No comments:

Post a Comment