Saturday, May 18, 2013

Chadema watoa ratiba ya kampeni za udiwani jijini Arusha

Kata ya Kimandolu itaongozwa na Dr Slaa,Mh Sugu,Mh Nassari, na Alphonce Mawazo.Kata ya Themi itaongozwa na Mh Msigwa, Mh Zitto, Mh Lucy Owenya,na Mh Parresso,Kata ya Elerai itaongozwa na Mh Lema,Mh Mnyika,Mh Halima Mdee na Mh Rosse Kamili,Kata ya Kaloleni atakuwepo Mh Mbowe,Kamanda mkuu,Tundu Antipas Lissu,Mabere Nyaucho Marandu,na Mh Natse,Leo uzinduzi wa kata zote nne utafanyika viwanja vya Ngarenaro,Kamanda Mbowe atazindua kwa kutumia Chopa

No comments:

Post a Comment