MOJA KATI YA MAMBO AMBAYO MWALIMU JK NYERERE ALIPIGA VITA NI UDINI
1.JE NI KWA NINI BAADHI YA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WANATUMIA PROPAGANDA ZA KIDINI KAMA SILAHA YA KUPAMBANA KISIASA. 2. JE HAWAJUI MADHARA YA KUSAMBARATISHA TAIFA KATIKA MISINGI YA UDINI?
No comments:
Post a Comment