Viongozi wa chadema wakiwa katika mshikamano mkubwa, wakiandamana kupinga vitendo vya uonevu vinavyofanywa na Spika na Naibu wake dhidi ya wabunge wa Upinzani.
Mamia ya wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kuunga mkono maandamano yaliyoandaliwa na chadema kupinga Uonevu wanaofanyiwa wabunge wa Upinzani Bungeni.
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akihutubia kwenye mkutano viwanja vya mwembeyanga Temeke.
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akiwa jukwaani katika mkutano wa kulaani vitendo vya uonevu kwa wapinzani. Mkutano uliofanyika katika kiwanja cha mwembeyanga Temeke.
Mh Tundu Lissu akiongea kwenye mkutano uliofanyika Viwanja vya Mwembeyanga
Mh Mnyika akiongea katika mkutano.
Kamanda Lema naye akimwaga cheche jukwaani.
Mh Halima Mdee amesema tukianza 2014 itakula kwetu, tuanze sasa.
Katibu mkuu wa AFP amesema chama chao kinaunga mkono chama makini kuiondoa CCM.
No comments:
Post a Comment