Monday, January 7, 2013

Tume yapokea rasmi maoni ya vyama vya siasa kuhusu Katiba Mpya


Ingawa mikutano ya Tume iliyolenga kukusanya maoni binafsi ya wananchi imemalizika, wananchi wanaweza kuendelea kutoa maoni kuhusu Katiba Mpya kupitia:

i. Na. 0774/0767/0715/0787-081508; 
ii. Email - maoni@katiba.go.tz; 
iii. S.L.P. 1681 Dsm au S.L.P. 2775, Zanzibar;
iv. Kupitia tovuti - www.katiba.go.tz; na 
v. Ukurasa huu wa facebook ya Tume. 

Toa Maoni, Tupate Katiba Mpya






No comments:

Post a Comment