Viongozi wa chadema kutoka kushoto ni Afisa wa habari wa CHADEMA dmv Ndg Kalley Pandukizi, Mwenyekiti wa Chadema DMV Ndg Cosmas Wambura, Katibu wa Chadema DMV Ndg Baby Mgaza, Mwenyekiti wa wanawake Ndg Mariam Khamis na Aliyekuwa Katibu wa Kwanza Ndg Liberatus Mwang'ombe.
Mwenyekiti wa Chadema Tawi la Washington DC Ndg Cosmas Wambura akihutubia katika Sherehe za Kuaga mwaka 2012 zilizofanyika katika ukumbi wa Mirage Hall, Maryland USA.
Katibu wa Chadema wa tawi la DMV Marekani Ndg Isidory Lyamuya.
Mwenyekiti wa Baraza la wanawake la Chadema DMV Ndg Mariam Khamis
Katibu wa baraza la wanawake wa Tawi la Chadema DMV Marekani Baby Mgaza.
Katibu mwenezi wa Tawi la Chadema DMV Ndg Hussein Kauzela.
Afisa wa Habari wa Tawi la Chadema DMV Ndg Kalley Pandukizi.
Aliyekuwa katibu wa kwanza wa Tawi la Chadema DMV Liberatus Mwang'ombe.
Mmoja kati ya Wanachama wapya wa Chadema ambaye amejiunga na CHADEMA kutokea CANADA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE

























NDUGU ZANGU WATZ HUKO AMERIKA, SASA ITOSHE KUFANYA HARAKATI ZA KWENYE MTANDAO NA BADALA YAKE TUSHUKE MGUU KWA MGUU KIJIJI KWA KIJIJI, MTU KWA MTU ILI TUWAELIMISHE NDUGU ZETU MOJA KWAMOJA KAMA KWELI TUNATAKA MABADILIKO. MTAKAPORUDI MSITAZAME KWAMBA MTAPATA MADARAKA, BALI TAZAMENI KWAMBA WATZ WENZETU WANAHITAJI UKOMBOZI, NA NJIA PEKEE NI KUWAFIKIA NA KUWAELIMISHA NA KUFANYA SAWASAWA NA MANENO YETU KWA HAKI. KARIBUNI TZ KWENYE UWANJA WA MAPAMBANO
ReplyDelete